Skip to main content
Skip to main content

Ida Odinga azungumzia maisha baada ya kifo cha Raila mwaka mmoja baadaye

  • | Citizen TV
    26,716 views
    Duration: 9:16
    Ni mwaka mmoja tangu kifo cha hayati Raila Odinga, na kwa mkewe Ida Odinga, kifo chake kiliacha kidonda ambacho bado ni kibichi kwake. Ida, kwenye mahojiano ya kipekee na runinga ya Citizen nyumbani kwake huko Bondo, amezungumzia namna maisha yake yalivyobadilika kufuatia kifo cha mume aliyemtaja kuwa rafiki yake wa karibu.