23 Sep 2026 10:08 am | Citizen TV 7,746 views Duration: 1:59 Idadi ya watu waliofariki kwenye mkasa wa lori la mafuta lililoteketea huko turbo imefikia watu sita,baada ya majeruhi mwingine kufariki akipokea matibabu katika hospitali ya mafunzo na rufaa ya moi jijini eldoret.