Skip to main content
Skip to main content

IEBC yateua Ruth Kulundu kuwa kaimu afisa mkuu mtendaji

  • | Citizen TV
    1,358 views
    Duration: 2:14
    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini, IEBC, imemteua Ruth Kulundu KAMA kaimu AFISA MKUU MTENDAJI kufuatia kukamilika kwa muda wa miezi sita ambayo Moses Sunkuli amekuwa akishikilia wadhifa huo. Kulundu, hata hivyo ataendelea kuhudumu kama naibu katibu wa tume.