6,104 views
Duration: 6:49
Aliwahi kutajwa kama gaidi, nabii na muuaji katili; Joseph Kony wa Uganda, anasakwa kwa uhalifu wa kivita na hajakamatwa hadi sasa kwa zaidi ya miongo miwili.
Aliwateka watoto na kuwageuza kuwa wanajeshi… Vijiji vilichomwa moto, raia walikatwa viungo - mikono, midomo, na masikio yote hiyo ilikuwa ni kueneza hofu.
Je yote haya yalianzaje?
@Sammy anasimulia
#bbcswahili #tanzaniatiktok #kenyatiktok #ugandatiktok #foryou
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw