Skip to main content
Skip to main content

Inspekta wa polisi Douglas Kanja apatikana na hatia ya kudhihaki mahakama

  • | Citizen TV
    17,231 views
    Duration: 1:00
    Inspekta Jenerali wa Polisi amepatikana na hatia ya kuasi na kutotii amri ya mahakama, kufuatia hatua za maafisa wa polisi za kuweka vizuizi katika barabara zinazoingia katikati ya jiji la Nairobi.