- 32,224 viewsDuration: 28:10Marekani na Iran zimedai ushindi baada ya kukubaliana kusitisha mapigano kwa wiki mbili. Makubaliano hayo yalitangazwa kabla ya tarehe ya mwisho iliyowekwa na Rais wa marekanii Donald Trump kwa Iran kufungua tena Mlango wa Bahari wa Hormuz au kizazi kizima cha Iran kiangamizwe. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw