Skip to main content
Skip to main content

Jackline Wanjiru alifariki baada ya kumwagiwa tindikali huko Kiritiri, Embu, azikwa

  • | Citizen TV
    10,863 views
    Duration: 2:20
    Huzuni ilitanda katika kijiji cha Ngeca, Makima, Mbeere Kusini wakati wa mazishi ya Jackline Wanjiru aliyefariki baada ya kudaiwa kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana alipokuwa akielekea kazini wiki iliyopita katika soko la Kiritiri. Familia, marafiki na wakazi walijitokeza kwa wingi kutoa heshima zao za mwisho huku viongozi wakilaani ongezeko la visa vya mauaji ya wanawake na ukatili wa kijinsia katika kaunti ya Embu. Aliyekuwa Naibu Gavana wa Embu Dorothy Nditi alitaka maafisa wa usalama kuharakisha uchunguzi na kuwakamata waliomuua Jackline Wanjiru.