Skip to main content
Skip to main content

Jaji mkuu Martha Koome ataka sheria kali kukabiliana na dhulma za kijinsia dhidi ya watoto

  • | Citizen TV
    551 views
    Duration: 4:23
    Jaji Mkuu Martha Koome ametaka kutekelezwa kwa mswada wa dhulma za kijinsia ili kukabiliana na ongezeko la visa vya dhulma za kijinsia na ngono kwa watoto nchini. Akizunguma huko Mombasa katika kongamano la utekelezaji wa haki koome na makatibu Anne Wang'ombe wa Jinsia na Carren Ageng'o wa huduma za watoto wamependekeza adhabu kali pamoja na kubuniwa kwa kikosi maalum cha kukabiliana na visa hivi.