- 455 viewsDuration: 1:43Jaji mstaafu na mwanaiaji urais David Maraga amekashifu kile anadai ni serikali kukosa kuwekeza katika masomo hali inayopelekea kushuhudiwa kwa matokeo duni miongoni mwa baadhi ya wanafunzi. Maraga anasema matatizo yanaokumba sekya ta elimu ikiwemo upungufu wa walimu, ukosefu wa miundo msingi na kupungua kwa fedha za ufadhili wa serikali imechangiwa na ufisadi, kukosekana kwa mipango dhabiti ya serikali na kutumia fedha nyingi kulipa madeni.