Skip to main content
Skip to main content

Jamii Wajir yaimarisha juhudi za kutokomeza ukeketaji

  • | Citizen TV
    718 views
    Duration: 1:51
    jamii katika Kaunti ya Wajir zimeimarisha juhudi za kutokomeza ukeketaji, huku manusura wa ukeketaji wakiongoza wito wa kuwalinda wasichana na wanawake dhidi ya madhara ya mila hiyo.