27 Jul 2026 10:45 am | Citizen TV 717 views Duration: 1:19 Demokrasia ya maafikiano imeanza kushika kasi katika Kaunti ya Wajir baada ya jamii ndogo ya Fai ya Jamii ya Dagodia kumteua Dkt. Hassan Mohamed Fuje kuwa mgombea wa ugavana katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.