7 Sep 2026 10:42 am | Citizen TV 705 views Duration: 2:10 Jamii ya Mangar katika Kaunti ya Baringo imepongezwa kwa juhudi zake za kulinda kima mwekundu aina ya Eastern Pattas, ambaye ni adimu kupatikana.