Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Talai iliyoko Nandi yataka wadi ya Kapsisiywa irejeshwe

  • | Citizen TV
    271 views
    Duration: 1:12
    Jamii ya Talai inayoishi Kaunti ya Nandi yataka serikali kurejesha Wadi ya Kapsisiywa iliyokuwepo kabla ya kutangazwa kwa Katiba ya mwaka 2010, wakisema hatua hiyo yasaidia kuharakisha maendeleo katika eneo hilo.