Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Wabajuni Malindi waiomba serikali kuharakisha utoaji wa vitambulisho

  • | Citizen TV
    1,022 views
    Duration: 2:19
    Jamii ya wabajuni wanaoishi mjini Malindi kaunti ya Kilifi wameishinikiza serikali kuharakisha zoezi la utoaji wa vitambulisho kwa jamii hiyo baada ya shughuli hiyo kuahirishwa kwa kukosekana kwa maafisa wa Idara ya usajili.