24 Sep 2026 10:38 am | Citizen TV 411 views Duration: 1:52 Wahudumu wa afya ya nyanjani katika kaunti ya Samburu wamepokea mafunzo kuhusu ugonjwa wa kifafa katika juhudi za kukomesha unyanyapaa miongoni mwa waathiriwa wa ugonjwa huo.