26 May 2026 11:01 am | Citizen TV 402 views Duration: 2:16 Jamii za walio wachache katika kaunti ya Laikipia zasifu hatua ya serikali ya kuwapa vitambulisho bila kufanyiwa uchunguzi ambao wasema ulikuwa kikwazo kikuu kwao chao kupata stakabadhi hii muhimu.