28 Jul 2026 10:49 am | Citizen TV 485 views Duration: 1:54 Wakazi wanaoishi karibu na msitu wa Aberdare katika Kaunti ya Murang’a waitaka serikali kuboresha miundomsingi na kuanzisha lango rasmi la kuingia katika hifadhi ya Aberdare kupitia eneo hilo.