- 2,349 viewsDuration: 2:53Eneo la Angata Barrikoi linakabiliwa na janga la kibinadamu kufuatia mapigano ya jamii mbili eneo hilo. Wakazi zaidi wametorokea katika kituo cha polisi cha Kona, huku vijiji vikisalia mahame. Aidha watoto wanahangaika, makali ya njaa na magonjwa yakiwa tishio kubwa kwa maisha yao