Skip to main content
Skip to main content

Je kuacha kula wanga kunasaidia kupunguza uzito?

  • | BBC Swahili
    12,867 views
    Duration: 1:52
    Kumekuwa na habari potofu mbalimbali kuhusu lishe, haswa kutoka kwa watengeneza maudhui kwenye mitandao ya kijamii ambao wanaelimisha kuhusu kupunguza uzito - Hapa kuna baadhi ya mitazamo potofu kuhusu lishe. Mariam Mjahid anaelezea - - - #bbcswahili #lishe #Afya #elimuyalishe #dietfood Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw