Skip to main content
Skip to main content

Je kwanini Joseph Kony aliitwa Nabii?

  • | BBC Swahili
    8,358 views
    Duration: 2:51
    Aliwahi kutajwa kama gaidi, nabii na muuaji katili; Joseph Kony wa Uganda, ambaye anasakwa kwa uhalifu wa kivita, hajakamatwa hadi sasa kwa zaidi ya miongo miwili. Aliwateka watoto na kuwageuza kuwa wanajeshi… Vijiji vilichomwa moto, raia walikatwa viungo, mikono, midomo, na masikio yote hiyo ilikuwa ni kueneza hofu. Je yote haya yalianzaje? Mwandishi wa BBC @sammyawami 📹 @brianmala #bbcswahili #ugaidi #uganda #katoliki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw