Skip to main content
Skip to main content

Je, Sh2,000 inaweza kukidhi mahitaji ya wanufaika?

  • | Citizen TV
    1,816 views
    Duration: 4:13
    Kwa miaka mingi, mpango wa serikali wa kutoa ruzuku ya fedha kwa wazee na watu wanaoishi na ulemavu umekuwa tegemeo kubwa, huku wanufaika wakipokea shilingi 2,000 kila mwezi. Hata hivyo, kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha, wanufaika wanasema fedha hizo hazitoshelezi tena mahitaji yao na sasa wanaitaka serikali kuongeza kiwango wanachopokea. Lakini je, shilingi 2,000 inaweza kukidhi mahitaji kwa kiwango gani? Brenda Wanga anaangazia maisha ya baadhi ya wanufaika, kuanzia msichana anayeendesha biashara akiwa kwenye kiti cha magurudumu huko Machakos, hadi ajuza anayewalea wajukuu mayatima huko Kibera na mfugaji huko Suswa ambaye amelazimika kubadili namna anavyopokea fedha hizo.