- 18,603 viewsDuration: 31sTazama jinsi mashambulizi ya anga ya Israel yalivyoshambulia kituo cha utafiti cha Iran. Picha zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii tarehe 14 Machi zinaonyesha kituo cha utafiti wa anga cha Tarasht mjini Tehran kikiteketea kwa moto. Jeshi la Israel lilianzisha kile lilichokiita mashambulizi 'makubwa' dhidi ya maeneo lengwa nchini Iran mwishoni mwa wiki, huku Iran ikirusha wimbi jipya la makombora. #bbcswahili #Israel #iran Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw