25 May 2026 1:15 pm | Citizen TV 957 views Duration: 1:38 Waziri wa Hazina ya Kitaifa John Mbadi amekanusha madai kuwa kuna mapendekezo ya ushuru wa ardhi katika makadirio ya bajeti ya mwaka huu.