Skip to main content
Skip to main content

John Mbadi akutana na wananchi Jeevanjee kujadili mswada wa fedha 2026/2027

  • | Citizen TV
    7,011 views
    Duration: 3:22
    Waziri wa Hazina ya Kitaifa John Mbadi amekutana na baadhi ya Wakenya katika Jeevanjee Gardens jijini Nairobi ili kupata maoni yao kuhusu mswada wa fedha wa mwaka wa 2026/2027.