9 Sep 2026 10:47 am | Citizen TV 1,049 views Duration: 1:33 Juhudi za kuhifadhi swara aina ya mountain bongo zinaendelea katika msitu wa Mlima Kenya, huku wahifadhi wakitumia kamera za CCTV kufuatilia wanyama hao.