Skip to main content
Skip to main content

Jumla ya wasichana 150 Tongaren wahitimu mafunzo ya ufundi

  • | Citizen TV
    220 views
    Duration: 2:12
    Jumla ya wasichana 150 wenye umri wa kati ya miaka 13 hadi 19 katika eneo bunge la Tongaren, kaunti ya Bungoma, wamehitimu kwa mafunzo ya ufundi chini ya mradi wa kuwasaidia kina mama wachanga.