9 May 2026 8:00 pm | Citizen TV 159 views Duration: 1:33 Timu ya taifa ya soka ya wasichana wasiozidi umri wa miaka 17 Junior Starlets imeanza kambi ya kujiandaa kabla ya kuchuana na wenzao Uganda U17 Women's National Team katika michuano ya kusaka tiketi ya Kombe la Dunia.