- 301 viewsDuration: 1:23Junior Starlets ya Kenya imesalia na dakika 90 pekee kujihakikishia nafasi ya kushiriki Kombe la Dunia la wasichana wasiozidi miaka 17 kwa mara ya pili. Timu hiyo ilifanya mazoezi mepesi leo kuelekea mechi ya mkondo wa pili dhidi ya Bantwana ya Afrika Kusini kesho, huku ikisaka tiketi ya kufuzu kwa mashindano hayo ya dunia.