Skip to main content
Skip to main content

Kajiado: wakazi wakabiliwa na uhaba wa maji baada ya kufungwa kwa Tata Chemicals

  • | NTV Video
    1,835 views
    Duration: 3:07
    Kiangazi kinawataabisha wakazi wa Kajiado Mashariki, ambao sasa wanalazimika kutembea zaidi ya kilomita 40 kutafuta maji. Hali ni mbaya zaidi kwa wafugaji, ambao mifugo wao wanakabiliwa na uhaba wa maji huku malisho yakizidi kupungua. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya