- 105 viewsDuration: 1:55Wafanyabiashara wa kuuza bidhaa kama matunda pamoja na wale wa biashara ya majeneza nje ya Hospitali Kuu ya Rufaa mjini Kakamega wameelezea kukadiria hasara kubwa kutokana na mgomo unaoendelea wa wahudumu wa afya. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya