- 68,388 viewsDuration: 2:53Mzozo wa shilingi kumi wamuacha mmiliki wa hoteli akiwa amepigwa mawe mjini Kakamega. Mzozo huo uliibuka kati ya mmiliki wa hoteli hiyo na mteja wake, baada ya mteja huyo kupinga kukatwa kwa shilingi kumi katika malipo yake ya ugali. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya