Skip to main content
Skip to main content

Kakamega: serikali ya kaunti yaanza kuondoa takataka zilizokuwa zimetupwa katika eneo la Rosterman

  • | NTV Video
    169 views
    Duration: 2:28
    Wakazi wa mtaa wa Rosterman, viungani mwa mji wa Kakamega, ambao wamekuwa wakilalamikia uvundo pamoja na nzi wanaotoka kwenye takataka zinazotupwa eneo hilo, wamepata afueni kidogo baada ya serikali ya kaunti hiyo kwa ushirikiano na washikadau wengine kuanza kuondoa takataka hizo pamoja na kunyunyizia dawa ya kumaliza harufu kila wakati. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya