7 Sep 2026 10:17 am | Citizen TV 3,052 views Duration: 1:22 Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ameahidi kuongeza mgao wa mapato kwa kaunti hadi asilimia 35 iwapo atapata fursa ya kuongoza nchi.