Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo akosoa misimamo ya Ruto, asema upinzani uko tayari kwa 2027

  • | Citizen TV
    2,755 views
    Duration: 2:59
    Viongozi wa upinzani wamemshutumu rais William Ruto kwa misimamo yake mikali dhidi ya kampuni ya madini ya Tata huko Magadi pamoja na agizo la kuwataka wafanyabiashara wadogo kuondoka nchini. Akiongoza kikao cha azimio la umoja one Kenya, kinara wake Kalonzo Musyoka amesema rais Ruto amekuwa akicheza karata mbaya na maisha ya wakenya.