Skip to main content
Skip to main content

KALRO yafanya utafiti wa mbegu mpya ya mpunga Tana River

  • | Citizen TV
    6,400 views
    Duration: 1:25
    KALRO inaendelea na utafiti wa mbegu mpya ya mpunga katika Kaunti ya Tana River. Mbegu hiyo inaonyesha kufanya vizuri katika mashamba yenye chumvichumvi.