Skip to main content
Skip to main content

Kaluma atetea matamshi yake, ataka viongozi wa Linda Mwananchi wakamatwe

  • | Citizen TV
    8,458 views
    Duration: 2:28
    Mbunge wa Homa Bay Town George Kaluma ametetea matamshi yake ya hivi majuzi huko Homa Bay, akisema hana la kujutia katika kuwatetea wakazi wake. Hata hivyo, Kaluma amesema matamshi yake yalinukuliwa visivyo, huku akionekana kubadili msimamo na kutaka viongozi wote wa Linda Mwananchi wakamatwe na kushtakiwa.