- 226 viewsDuration: 1:57Kamati ya Bunge ya Kitaifa ya Utekelezaji, iongozwayo na Raphael Wanjala, yazuru Mukutani katika eneo la Baringo Kusini kwa ziara ya kutafuta ukweli kuhusu mgogoro wa muda mrefu unaohusu kuanzishwa kwa Msitu wa Mukutani, suala ambalo laendelea kuzua mvutano kati ya shirika la Huduma ya Misitu Kenya (KFS), pamoja na jamii za Ilchamus, Endorois na Pokot.