19 Aug 2026 10:12 am | Citizen TV 148 views Duration: 1:20 Kamati ya Seneti kuhusu Nishati yawahakikishia wakazi wa Lenya huko Bondo kaunti ya Siaya, kuwa hawataondolewa kwenye ardhi yao bila ridhaa yao ili kutoa nafasi kwa ujenzi wa kiwanda cha kwanza cha nishati ya nyuklia nchini.