Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya ukaguzi Baringo Kusini wa jamii yachunguza matumizi ya ksh.12.3m

  • | Citizen TV
    349 views
    Duration: 2:23
    Kamati ya ukaguzi wa jamii kutoka Wadi ya Mochongoi, Baringo Kusini, yafika katika ofisi ya afisa mkuu wa kaunti anayesimamia Barabara, Geoffrey, mjini Kabarnet, kutaka maelezo kuhusu madai ya malipo ya Shilingi milioni 12.3 kwa kituo cha mafuta mjini Nakuru.