Skip to main content
Skip to main content

Kampeni dhidi ya mimba za utotoni yazinduliwa Kwale

  • | Citizen TV
    480 views
    Duration: 2:01
    Kampeni ya kukabiliana na ndoa na mimba za utotoni kupitia filamu na simulizi imezinduliwa katika kijiji cha Kibaoni eneo bunge la Lungalunga kaunti ya Kwale, eneo linalokabiliwa na ongezeko la visa hivyo.