- 2,764 viewsDuration: 3:27Kampuni ya kusambaza maji ya coast water inashikilia kwamba kamwe haitafungulia maji kampuni tatu za kusambaza maji Taita Taveta, kwale na kilifi kutokana na malimbikizi ya madeni. Afisa mkuu mtendaji wa kampuni hamoud mguza amedai kuwa kaunti hizo zinadaiwa zaidi ya shilingi milioni 403 katika kipindi cha mwaka mmoja fedha ambazo zinaathiri utendakazi na utoaji huduma wa kampuni ya coast water