Skip to main content
Skip to main content

Kampuni ya Safaricom yazindua bima ya wakulima Nyeri

  • | Citizen TV
    488 views
    Duration: 1:21
    kampuni ya safaricom imezindua bima Kwa wakulima ambao ni wateja wao, ili kuwalipa fidia iwapo patatokea hasara. Mpango huo unazinduliwa Katika kaunti ya nyeri, wakulima Kutoka kaunti hio na Ile ya Kirinyaga wakishiriki.