- 20,629 viewsDuration: 1:36Unaikumbuka au unazijua gari za Volkswagen! Sasa kampuni hiyo ya magari ya kifahari ya kutoka Ujerumani Volkswagen ambayo ndio kampuni mama inayotengeneza magari ya Audi Porsche Lamborghini na Bentley imeingia mkataba wa utengenezaji wa silaha za ulinzi wa anga wa Israel Iron Dome. . - - #bbcswahili #magari #silaha #biashara Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw