7 Sep 2026 1:35 pm | Citizen TV 522 views Duration: 1:16 Askofu Peter Kimani wa Kanisa Katoliki, Dayosisi ya Embu, amewaonya wanasiasa dhidi ya siasa za migawanyiko katika eneo la Mlima Kenya.