Skip to main content
Skip to main content

Kanuni za mchakato wa kuandaa kura ya maamuzi

  • | Citizen TV
    1,213 views
    Duration: 2:12
    Marekebisho ya katiba kupitia kura ya maamuzi ni shughuli inayochukua takriban mwaka moja bila kuingiliwa na mahakama, na inahusisha mabunge ya kaunti, bunge la taifa na bunge la Seneti. Je, tume ya uchaguzi inaweza kuandaa kura ya maamuzi kwa muda wa miezi 3 wakati mswada wa kuandaa kura ya maamuzi utapitishwa na mabunge hayo.