Skip to main content
Skip to main content

Kassim Sebo azuiliwa kwa siku sita baada ya kukana mashtaka ya uhuni

  • | Citizen TV
    4,885 views
    Duration: 1:30
    Mshukiwa wa uhalifu aliyehusishwa na na visa vya uhuni kaunti ya Homa Bay Kassim Sebo amefikishwa mahakamani alikokanusha mashtaka yaliyomkabili. Sebo aliyehusishwa na vurugu wakati wa mkutano wa Linda Mwananchi mwezi Agosti ataendelea kuzuiliwa kwa siku sita kutoa nafasi ya uchunguzi.