Katibu katika wizara ya Elimu anayeshughulikia Mafunzo ya vyuo vya Ufundi Stadi Esther Muoria, amesema kuna haja ya kuwapa wanafunzi mwongozo sahihi na mazingira ya kuwawezesha kustawi katika dunia inayobadilika kwa kasi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya