26 Oct 2026 10:15 am | Citizen TV 449 views Duration: 1:55 Katibu wa huduma za Afya, Ouma Oluga, ametoa wito wa ushirikiano kati ya wakuu wa shule na maafisa wa utawala wa serikali ya kitaifa katika kupambana na jinamizi la mimba za mapema .