- 24,638 viewsDuration: 1:57Mkurugenzi Mtendaji wa Nvidia, Jensen Huang, amekiri kuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa na mwanamke kutoka China, Alice Huang. Hata hivyo Huang ameomba msamaha kwa mkewe, familia na wafanyakazi wa wa kampuni hiyo kufuatia sakata hilo. Mwanamke huyo anatuhumiwa na Marekani kuwa ni jasusi wa China, huku Marekani ikidai anatumika kusafirisha chipu kutoka kampuni ya NVIDIA kwenda kusaidia kampuni za China huku chipu hizo zikiwa zimepigwa marufuku kusafirishwa na Marekani. #bbcswahili #nvidia #jensenhuang Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw