17 Sep 2026 10:19 am | Citizen TV 348 views Duration: 1:13 Katibu wa idara ya uhamiaji na huduma za uraia Dkt. Belio Kipsang, ametetea uamuzi wa serikali wa kuwataka raia wa kigeni kutafuta stakabadhi halali na vibali vya kazi nchini.